BurudaniMuziki

Music: Salam TMK – Nafsi

Salam TMK ni zao jingine kutoka katika Kituo cha Mkubwa na Wanawe na Hii ni kazi yao ya kwanza kabisa ambayo imetengenezwa katika Studio za Mkubwa na Wanawe chini ya Producer Shirko wa Mkubwa na Wanawe, Salamu TMK inajumla ya wasanii 8 kutoka katika Mikoa Tofauti ya Tanzania. Sikiliza kazi hii inaitwa “Nafsi”.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents