HabariMichezo

Mwakinyo apokelewa DSM akiwa na mkanda wa WBO akitoka Zanzibar

Kufuatia Bondia Hassan Mwakinyo kufanya yake usiku wa kuamkia leo kule Visiwani Zanzibar baada ya kishinda kwa KO raundi ya 7 kwa kumdondosha mpinzani wake Mghana hatimaye amewasili Jijini Dar es salaam huku akipokelewa na mashabiki pamoja na wananchi Kifalme.

Mwakinyo alifanikiwa kuipeperusha Bendera ya Tanzania usiku wa kuamkia leo kwa kufanikiwa kubeba Mkanda wa WBO.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents