Habari
Mwijaku awashitaki Harmonize na Kajala Usitawi wa Jamii, aomba waitwe wahojiwe atoa sababu hizi
Katika Hospitali ya Mwananyamala kuna dawati la USTAWI WA JAMII ndiko alipoenda DC wa Instagram @mwijaku kwa ajili ya kutoa malalamiko yake juu ya @harmonize_tz na @kajalafrida akieleza kuna mambo yanaendelea sio mazuri katika malezi ya binti yule.
@mwijaku amewaomba USTAWI WA JAMII akijitambulisha kama mwanaharakati kuwa @harmonize_tz na @kajalafrida waitwe wahojiwe na ameenda mbali zaidi akisema ushahidi wote yeye anao juu ya yanayoendelea.
Sikiliza namna @mwijaku akitoa maelezo USTAWI WA JAMII KINONDONI.