Habari
Mwijaku: Mimi ni mwanaharati ninayependa haki, ushahidi wote ninao
Baada ya kukutwa Mwananyama ofisi za Ustawi wa Jamii aliulizwa na @el_mando_tz kuwa unachochote cha kusema?? bwana Mwijaku alisema kuwa “mimi ni Mwanaharakati ninayependa haki, siku zote nafuatilia haki, hii ndio maana halisi ya kioo cha jamii”
Aliendelea kuulizwa je una ushahidi wowote juu ya haya unayoyashtaki Ustawi wa Jamii?? alijibu kuwa nina ushahidi wote”
Kufahamu mkasa mzima temebela akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive. Written and edited by @el_mando_tz