Burudani

Mx Carter aeleza jinsi ya kuongeza na kupunguza views YouTube (Video)

Meneja wa wasanii na Wakala wa YouTube Tanzania kupitia kampuni ya Ngoma, Mx Carter amefunguka kuzungumzia namna mtu anavyoweza kuongeza view ama kupunguza kwenye video huku akihatadharisha kwamba ni hatari kwani unaweza kufungiwa akaunti yako mara moja kama YouTube wakijua unafanya hivyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents