Michezo

Mzee wa Jambia aibu yamkuta

Mchambuzi wa Soka Wilson Oruma Mzee (Mzee wa Jambia) amemuomba msamaha Mshambuliaji wa Yanga Joseph Guede baada ya kuwa anafunga mfululizo wakati anasajiliwa na kucheza mechi kadhaa Mzee wa Jambia alifanya mahojiano na Kusema Joseph Guede kiwango chake ni cha kupepea au cha kusubiri kama umetongoza demu, baada ya Guede kuanza kufunga mara kwa mara Mzee wa Jambia amemuomba msamaha.

 

 

“SORRY JOSEPH GUEDE I WASN’T AWARE WITH YOUR GAME..??? ameandika Wilson Oruma kwenye Instagram yake.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents