Michezo

Yanga waamua kuiteka Afrika

Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto wa Klabu ya St. Lupopo na Timu ya Taifa ya DR Congo, Chadrack Boka ili Kuwa mrithi wa Joyce Lomalisa ambaye ataondoka mwishoni mwa Msimu huu.

Boka (24) anasifika kwa uwezo mkubwa wa kuzuia na kushambulia.

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents