Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Nay wa Mitego: Sallam na Tale wamependelea, msilalamike

Rapa wa muziki wa Bongo Fleva @naytrueboytz wamewashangaa wasanii wanaolalamika kuhusu orodha ya wasanii wa Bongo Fleva waliofanya vizuri kwa mwaka 2022 ambayo ilitolewa na mameneja wa @diamondplatnumz @sallam_sk na @babutale

@naytrueboytz ameweka wazi kuwa huwezi kuumia kwa orodha iloyotolewa kwani walioyoitoa wamevuta upande wao.

Ikumbukwe kuwa katika orodha hiyo hakukuwepo na msanii yoyote wa Singeli wala Hip Hop na @naytrueboytz ni msanii wa Hip Hop.

Kwa upande wake orodha yako ni ipi ya wasanii waliofanya vizuri kwa mwaka 2022??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents