Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
Sallam Sk ataja waigizaji bora, Wolper No.1
Meneja wa @diamondplatnumz @sallam_sk bado anaendelea kutoa orodha ya wasanii waliofanya vizuri kwa mwaka 2022.
Baada ya kutaja wasanii wa muziki wa Bongo Fleva leo ametoa orodha ya wasanii wa Bongo movie waliofanya vizuri.
Katika orodha hiyo @wolperstylish namba moja
Je unakubaliana na orodha aliyoitoa Mendez au wewe una ya kwako?? 🤓