Michezo

Simba watakachokipata Chamanzi watasimulia – Hasheem Ibwe

Ofisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Azam Hasheem Ibwe amesema kuwa nafasi yao ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao watajihakikishia kesho endapo wataifunga Azam FC.

Ahmed amesema hayo kuelekea mchezo huo wa ligi utakaopigwa kesho katika Dimba la Azam Complex Chamanzi huku akiwa nafasi ya pili na alama 57 na michezo 25 na Simba nafasi ya 3 akiwa na alama 50 na michezo 24.

“Tunakwenda kucheza na timu ambayo haina furaha yoyote licha ya ushindi ambao wamekuwa wakiupata.

“Kwenye Kombe la Muungano hatusemi tulilidharau lile kombe lakini nyakati ziliamua kuwa wao wapate lile kombe. Mungu nae aliamua hawa wapate maana furaha imetoka upande wao.

“Mchezo wa NBC ni mchezo tofauti kuna Kipre Junior, una Gibril Sillah, kuna James Akaminko, Feisal Salum, Abdul Suleiman Sopu lakini nina kocha Yousuph Dabo pamoja na kocha Bruno Ferry wanatokea wapi?? alisema Hasheem Ibwe.

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents