HabariMichezo

Neno moja kwa Yanga vs US Monastir

Yanga SC wanashuka uwanja wa Olympic Rades pale Tunis kutupa karata yake ya kwanza dhidi ya US Monastir katika hatua ya Makundi Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika majira ya saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Tupia neno moja kwa Yanga

Credit by @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents