Habari
New Music: Kelly Rowland – Dirty Laundry
Member wa Destiny’s Child Kelly Rowland ameachia single mpya “Dirty Laundry”, inayopatikana katika album yake ya “Talk a Good Game” inayotegemewa kuingia sokoni June 18. Isikilize hapa.