Bongo5 ExclusivesBongo5 MakalaBurudani
Nyota wa Nigeria Shallipopi atua nchini, Jukwaa moja na Marioo
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/06/Screenshot-2024-06-07-at-10.10.38.png)
Usiku wa kuamkia leo Nyota wa muziki kutokea Nchini Nigeria @theycallmeshallipopi amewasili Nchini kubwa zaid ni kwa ajili ya show kubwa kesho pale Warehouse Masaki ikiwa ni Twelve Forty Five Outside – 1245 Outside huku akisindikizwa na madj wakali akiongozwa na @djjoozey pamoja na msanii @marioo_tz
Majira ya mchana Nyota huyo atazungumza na waandishi wa habari
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5
https://www.instagram.com/reel/C75zo02NYwH/
Imeandikwa na Mbanga B.