Burudani

Ommy Dimpoz aachia audio ya wimbo ‘Kajiandae’ akiwa na Alikiba

Baada ya weekend hii Ommy Dimpoz kuachia video ya wimbo ‘Kajiandae’ alioshirikiana na Alikiba, Jumatatu hii kupitia mtandao wa nyimbo za muziki nchini, mkitodotcom ameachia audio ya wimbo huo.
click-to-web

Hii ni kolabo ya pili kati ya Ommy Dimpoz na Alikiba baada ya miaka minne iliyopita kufanya vizuri na wimbo ‘Nai Nai’.

Wimbo Kajiandae wa wawili hao umebeba ujumbe wa mapenzi na unazungumzia mwanamke wa ndoto zao. Audio ya wimbo huo imeandaliwa na mtayarishaji Emma The Boy huku video ikiongozwa na Justin Campos wa Afrika Kusini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents