Burudani

Picha: Britney Spears ajiachia kwa ki-Ben 10 chake

Msanii wa muziki Britney Spears, amenaswa fukwe za Hawaii akiwa na ki-Ben 10 chake aitwaye Sam Asghari.

Sam Asghari (23) amedaiwa kumvesha pete ya uchumba marembo huyo mwenye watoto wawili hivi karibuni kabla ya kutua Hawaii, Alhamisi hii.
Britney na kijana huyo mwanamitindo mwenye asili ya Iran kwa mara ya kwanza walikuitana mwaka 2016 katika Slumber Party music video na kuanzia hapo wamekuwa wakiwa pamoja.
Picha:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents