Burudani

Picha: Jinsi Kadjanito alivyofunga ndoa

Oktoba 29, Kadjanito alifunga ndoa na mchumba wake, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, kwenye kanisa la Ufunuo wa Bendera.

whatsapp-image-2016-10-31-at-17-23-36

Baadaye palikuwa na sherehe iliyofanyika katika jengo la Tanzanite Tower. Kadja amelazimika kubadili dini na kuwa Mkristo ili kumfuata mume wake. Sherehe hiyo ilihudhuriwa na baadhi ya wasanii wakiwemo Linah na Mwasiti na ndugu wa karibu.

Hizi ni picha za harusi hiyo.

whatsapp-image-2016-10-31-at-17-23-35

whatsapp-image-2016-10-31-at-17-23-33

whatsapp-image-2016-10-31-at-17-23-33-1

whatsapp-image-2016-10-31-at-17-24-12

whatsapp-image-2016-10-31-at-17-24-11

whatsapp-image-2016-10-31-at-17-23-29

whatsapp-image-2016-10-31-at-17-23-27

whatsapp-image-2016-10-31-at-17-23-27-1

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents