Habari

Picha: Linah alivyoagwa rasmi na THT na kuzindua video yake

Jana July 16 ilikuwa ni siku muhimu sana kwa Msanii Linah Sanga ambaye aliungana na wadau mbalimbali wa burudani waliokusanyika katika ofisi za Tanzania House of Talent (THT) kupata futari, na baada ya hapo THT ilitumia nafasi hiyo kumuaga rasmi Linah ambaye amepata uongozi mpya unaoitwa No Fake Zone Entertainment.

IMG_2273

Linah pia alizindua video na audio ya wimbo wake mpya ‘Ole Themba’ na kutoa zawadi kwa watu waliom-support alipokuwa hapo THT.

IMG_2221
Babu Tale

IMG_2232
Jacob na Beatrice

IMG_2220
Mkubwa Fella

IMG_2263

IMG_2226
Dj Bike na B12

IMG_2369
Msanii wa Bongo Movie Batuli akimwagia maji Shetta ambaye pia ilikuwa Birthday yake

IMG_2373

IMG_2374
Queen Darleen nae alimwagia maji yakutosha Shetta

IMG_2375

IMG_2265

IMG_2377
Shetta akiwa haamini kilichotokea baada ya kujikuta yupo mtu kati

IMG_2233
Mpishi futari akiwa na team yake Sele Facebook a.k.a Big Dady

IMG_2234

IMG_2235
Sele Facebook akiongea jambo na rafiki yake

IMG_2236

IMG_2237

IMG_2238

IMG_2239
Michael Mlingwa

IMG_2242
Lameck Ditto

IMG_2244

IMG_2245
Cloud

IMG_2246
Godwin Gondwe

IMG_2247
Madee na Chege

IMG_2250

IMG_2251
Shaa

IMG_2252

IMG_2255

IMG_2256
Steve Nyerere

IMG_2258
Rose Ndauka

IMG_2259

IMG_2262
Hii ndo gari aliyokujanayo Linah

IMG_2271
Linah

IMG_2281

IMG_2282

IMG_2283

IMG_2285

IMG_2286

IMG_2287

IMG_2288

IMG_2289

IMG_2290

IMG_2292

IMG_2296

IMG_2297

IMG_2299

IMG_2300

IMG_2301

IMG_2303

IMG_2310

IMG_2316

IMG_2320
Mwasiti akipokea Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Tanzania House of Talent (THT) Ruge Mutahaba

IMG_2321
Emma the Boy nae alipata cheti cha mfanyakazi hodari

IMG_2323
Ditto alipata Cheti nae kuwa kiongizi bora wa wa THT

IMG_2341
Linah alimzawadiwa boss wake zawadi kama shukrani ya kumfikisha alipo leo hii

IMG_2342

IMG_2343
Linah pia alimzawadia mwalimu wake Nkya zawadi ya kumlea alipokuwa hapo THT

IMG_2345
Linah pia alimzawadia Rehema kwa kumlea alipo kuwa hapo THT

IMG_2350
Linah pia hakumsahau Producer Nash ambaye pia ndiye muandishi wa hii ngoma yake ya Ole themba

IMG_2358
Linah akiwa na Dj Ibra

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents