Burudani

Picha: Prezzo aongeza tattoo nyingine yenye picha ya binti yake

Prezzo ameachana na mke wake lakini mapenzi yake kwa mtoto wao yapo pale pale. Katika kuonesha kuwa anampenda na kumjali mwanae wa kike, Rapcellency ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani kwa tour ya mwezi mzima, ameongeza kwa kujichora tattoo nyingine kwenye mwili wake.

BQjOa3OCMAA2abX

Tattoo hiyo amejichora kwenye mkono wake wa kushoto.

BQjQlQCCQAAC9Ur

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents