Habari

Picha: Rais Magufuli aongoza kikao cha Halmashauri Kuu (NEC)

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Kamati Kuu na kikao cha Halmashauri Kuu(NEC). Ambapo kesho kutakuwa na mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kumalizika tarehe 19, Disemba mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents