Burudani

Picha: Rihanna ajiunga na mamilioni ya watu duniani kusherehekea siku maalum ya bangi

Rihanna hajawahi kuficha mapenzi yake kwa mmea wa bangi na hivyo halikuwa jambo gumu kujiunga na mamilioni ya wavutaji wengine duniani kwenye siku maalum ya bangi April 20. Siku hiyo kila mwaka imetengwa na wavutaji wa bangi kuonesha mapenzi yao kwa mmea huo.
Tazama baadhi ya picha za Rihanna akiutukuza mjani kwa njia mbalimbali.

article-2609111-1D3A6AF300000578-948_634x634

article-2609111-1D3A9DB600000578-376_634x799

article-2609111-1D3A786F00000578-805_634x630

article-2609111-1D3AA68E00000578-125_634x634

article-2609111-1D3AA69B00000578-821_634x769

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents