Burudani

Picha: Roma ni kama Yesu kwenye kava la single yake mpya ‘KKK’

Rapper Roma Mkatoliki hajawahi kuachia single isiyoleta utata na huenda single yake mpya, KKK itakayotoka Jumatatu ijayo, inaweza ikazusha controversy kuzidi hata Contro Verse ya Wakazi.

7a294496a5d811e3b7b012675dad6710_8

Baadhi ya kava za single hiyo zinamuonesha rapper huyo akiwa amevaa nguo nyeupe kama za Yesu Kristu huku akichunga kondoo wake. Katika picha ya pili, Roma anaonekana akiwa na mavazi hayo hayo na huku akiwa ameinua juu mikono yake na macho kama mtu anayesali.

9e058f98a5d611e3a0530ec574b11eb1_8

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents