Burudani

Picha: Tyga amnunulia mpenzi wake Kylie Jenner gari la shilingi milioni 665 kama zawadi ya birthday

Usiseme hatuna hela, sema huna hela!

kylie-birthday-9-435
Ferrari: Zawadi ya birthday ambayo Kylie amepewa na mpenzi wake Tyga

Katika kuhakikisha tabasamu kwenye uso wa mrembo wake Kylie Jenner halikauki, rapper Tyga amemsurprise kwa kumnunulia gari aina ya Ferrari 482 Italia yenye thamani ya $320,000 ambazo ni zawadi ya shilingi milioni 665!

kylie-birthday-1-435
Tyga akimkabidhi Kylie ufunguo wa gari alilozawadiwa na kumwacha mdomo wazi

Kylie Jenner ametimiza umri wa miaka 18 Jumatatu hii.

Kwa mujibu wa mtandao wa People, Tyga alimpa mpenzi wake gari hilo lenye rangi nyeupe kwenye sherehe iliyofanyika huko West Hollywood iliyohudhuriwa na mastaa kibao.

kylie-birthday-7-435

Mastaa waliohudhuria sherehe hiyo ni pamoja na Kim Kardashian, Kanye West, Khloe, Kourtney, Kendall, Kris na Caitlyn Jenner.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents