Burudani
Picha: Wakazi azindua video ya ‘Wanawake wa Dar’

Rapper Wakazi jana amezindua video ya wimbo wake ‘Wanaweke wa Dar’kwenye ukumbi wa M.O.G Bar & Restaurant iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Katika uzinduzi huo Wakazi alisindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo AY, Grace Matata, Damian Soul , Fid Q, Chidi Benz, Songa, One Incredible, Cliff Mitindo na wasanii wengine.
Wakazi akionyesha uwezo wake wa kuchana
Wakazi aliwataka mashabiki wa muziki wake kujiandaa kwakuwa video hiyo itaanza kuonekana leo.
Mrembo akifuatilia uzinduzi kwa makini
Mtangazaji wa Uhuru Fm akiwa na mdau
Muba wa Mkasi, Zuhura ‘Kamiligado’ na Songa
One the Incredible
DJ Tass (kulia) akiwa alikuwepo pia
Wakazi akiwa na One