Habari

Picha: Waliombeza Dkt.Shein kwa ujenzi wa barabara waumbuka

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein amekagua rasmi mradi wa barabara kutoka Kwamabata hadi Kinuni ambayo ona u refund wa kikwete 3.5 huku kilometers 2 zikiwa zimeisha Kamilika.

Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein akihutubia wakazi wa Magogoni kwa Mabati katika Wilaya ya Magharibi B.

Dkt Shein amekagua barabara hiyo ambayo kiasi cha milioni 900 zikisalia kukamilika ujenzi huo, ambao pia utahusisha barabara za ndani Zanzibar ambazo ni kilometer 50.

Rais Shein (kulia) aliamua tana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud (kushoto)

“Serikali inayiingozwa na Chama Cha Mapinduzi hao wezi kuhaidi isitekeleza. Wapi waliokejeli na kubeza kuwa hatuta weza na wapo walioamini kuwa serikali itajenga kwa ubora na umakini”amesema Dk Shein.

Pia akaongeza kuwa ” Kuna mmoja went ameomba barabara hii iongezeke hadi Kijitoupele, nimesikia na ombi lake limekubalika.”

Vile vile amewasisitiza wakazi na watu Miami wa barabara hiyo kutumia kwa umakini na kuhakikisha wanafuata sheria za barabara ni ili kuepukana na ajali.

Na Laila Sued na Salum Kaorata

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents