Burudani
Picha:Davido na timu yake wawasili Dar
Msanii wa muziki wa kimataifa kutoka nchini Nigeria, Davido ameaingia usiku wa October 17 na kupokelewa na wadau mbalimbali wa burudani katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.
Davido akiwa mwenye furaha baada ya kuwasili ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Davido ambaye amewahi kufanya collabo na Diamond alisema amefurahishwa na ujio wake ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Davido na timu yake wakiwasili
Davido akikabidhiwa tisheti namba kumi, Ni shidah
Davido akisikiliza kwa makini jambo
Davido akihojiwa na mtangazaji wa Choice FM Lady Haha