Burudani
Pizzo abadili jina kisa BASATA
iKufuatia kubadili jina lake la kisanii Pizzo alilokua akilitumia zamani liloleta sitofahamu kutokana na sababu za usajili Basata sasa anaitwa Mactone
Msanii huyu chipukizi wa kizazi kipya mactone @iam_mactone ameachia kichupa kipya kinachokwenda kwa jina la #Sikosawa
Unaweza pita kwenye digital platforms kutazama zaidi.
Imeandikwa na Mbanga B