Habari
Polepole atoa ufafanuzi Rais Magufuli kumlipia faini Mbunge wa Chadema, Peter Msigwa (Video)
Ujumbe wa Mh. Humphrey Polepole kuhusu Mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa kulipiwa faini na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli