Q Chief asaka bosi mpya, ataja vigezo anavyotakiwa kuwa navyo

Baada ya kuona kuna umuhimu ya kutafuta boss mpya atakaesimamia kazi zake, Q chief amefunguka kuwa kama kuna Mtanzania aliye tayari kuwekeza kwenye video na kipaji chake anakaribishwa. Hata hivyo amefafanua vigezo anavyotakiwa kuwa navyo mtu huyo.

“Kama kuna Mtanzania yuko tayari kuwekeza kwenye hii video na career ya Q chief na katika biashara kwa nia ya kufika pale 1. asahau yaliyopita 2. awe tayari kutoa nafasi 3. asiwe mbahili na mfuko wake, kwasababu when you invest you get more money,” anasema Chila.

“Lakini Chief Kiumbe right now is not the source, nimemsubiri sana, kama nilivyosema sitasubiri kusubiri watu, anaeajiriwa ataajiriwa, asiekuwa na ajira atatoka nje ya ajira, ni muda wa mapinduzi ya fikra potofu, this is it.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents