Michezo

Rafael Nadal kutoshiriki michuano ya Wimbledon

Nyota wa mchezo wa tenesi duniani Rafael Nadal ataikosa michuano ya Wimbledon kwa kusumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mkono wa kulia.

2016-Australian-Open-Recap-Rafael-Nadal-Wozniacki-Out

Nadal atakosa michuano hiyo itayoanza kutimua vumbi kuanzia Juni 27 mpaka julai 10, mchezaji huyu alithibitisha kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Facebook.

Rafael Nadal alindika “ingeweza kuniletea tatizo zaidi kama ningeendelea kucheza huku nikiwa na tatizo hili la kifundo cha mkono “.Kwa sasa Nadal anashika nafasi ya nne kwa ubora wa mchezo huu

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents