Habari

Rais Magufuli akabidhi Uenyekiti wa SADC kutoka kwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi (+Video)

”Kwenye mkutano wa 39 tulipitisha azimio la kuondolewa vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa dhidi ya Zimbabwe tangu mwaka 2000, pia tuliipitisha Oktoba 25 kila mwaka kuwa ni siku maalumu ya kupinga vikwazo ilivyowekewa nchi hiyo’

Kwenye hilo nchi wanachama wa SADC zitakuwa zikiadhimisha kwa kufanya mambo mbalimbali ikiwemo kuaandaa makongamano, midahalo au kutoa matamko yenye kupinga vikwazo dhidi ya Zimbwabwe”

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents