Burudani

RECAP: Diamond ndiye Mfalme wa Promo Afrika (Video)

Bongofive kupitia kwenye kipindi Chake cha RECAP & MANDO el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya Diamond KOMASAVA.

El_mando_tz amesema kuwa Diamond ameonyesha namna gani yeye ni mfalme wa kufanya promo za nyimbo zake.

Ukiangalia wimbo wa KOMASAVA unatrend asilimia kubwa kwa sababu ya kufanyiwa sana promo na kila ukipita mtaani watu wanaimba KOMASAVA hata mitandaoni.

Hii inatoa funzo kubwa kuwa wasanii wawekeze kwenye promo, zinasaidia kusukuma wimbo kwenda zaidi.

Lakini pia Komasava inagusa mataifa mengi sana kutokana na salamu za mataifa mbalimbali  zinazotajwa kwenye wimbo husika.

Mara nyingine wimbo hau-trend kupitia ujumbe (Maudhui) bali hata beats zinaweza kuufanya wimbo uka-trend.

Unakubaliana na el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongofive.

 

 

 

 

 

 

Host: el_mando_tz

Cameraman:Samirkakaa

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents