Habari
Rais Magufuli alivyotinga kumzika Mzee Kingunge leo (+Video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza Watanzania kumlilia mwanasiasa Mkongwe Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.Tazama video hii uone Rais Magufuli alivyoongoza Watanzania kumzika mzee Kingunge :