Burudani
Ratiba ya Mazishi ya director George Tyson
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2014/06/Screen-Shot-2014-05-31-at-01.58.00.png)
Mwili wa marehemu George Tyson unatarajiwa kuletwa nyumbani kwake (Mbezi makonde) June 3 jioni kuanzia saa kumi na mbili jioni kwa ajili ya kuagwa
Mwili utalala nyumbani kwake Mbezi na kesho yake Jumatano (June 4) utapelekwa Leaders club kwa ajili ya kuagwa kuanzia saa nne asubuhi.
Baada ya kuagwa mwili wa marehemu utapelekwa moja kwa moja uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Nairobi Kenya kwa mazishi.