Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Rayvanny ameitikisa Afrika, show yake ya Albania imeweka histaoria hii

Kupitia kipindi cha RECAP & MADO @el_mado_tz ameizugumzia kwa urefu show ya Rayvanny aliyoifanya nchini Albania ambapo alialikwa na msanii wa taifa hilo aayejulikana kwa jina la Noizy.

@el_mando_tz ameanza kuwa kumpongeza Rayvanny kwa kupata nafasi hiyo na kuitumia vyema kwani wasanii barani Afrika na duniani kote ni wengi sana lakini Noizy aliona uwezo wa Rayvanny na kuamua kumjuisha kwenye orodha ya wasaii ambao walipafomu siku ile.

Mbal;i na hilo Tanzania kuna wasaii wengi sana hata Afrika lakini Noizy alimuona Rayvanny hiyo ni afasi kubwa sana.

Pili @el_mado_tz anansema kuwa mbali ya kualikwa kwenye show Rayvanny alionyesha uwezo mkubwa wa kuuteka umma na kumpigia makofi lakini pia kushangilia wakati anapafomu hiyo pia ni jambo kubwa sana Rayvanny alifanya.

Wengi wanaoponda alichokifanya Rayvanny wakidai ni show ya kualikwa hizo nichuki za wazi kwani wasanii kote duniani waaalikaa kwenye shows na Matamasha.

Mfano tu Tamasha la Coachella wasanii wote duniani wanaalikwa haliandai wao kwahiyo kitendo cha Rayavvy kualikwa ni kitendop ambacho hata akina Jay Z, Drake, Kanye West, Chris Brwon na wengine wanaalikwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents