Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Puala alilala na Diamond au Rayvannny alilala na mfanyakazi??

Katika kitu ambacho wengi walikuwa hawajui ni sababu ya Rayvanny kuachana na Paula, ila baada ya kuvurugana mitandaoni Rayvanny amethibitisha sababu ya yeye kuachana na Paula.

Sababu kubwa ni kwamba Paula alilala kimapenzi na mmoja ya mtu/msanii ambaye Rayvanny anamheshimu sana kwenye industry ya Bongo Fleva ingawa hakumtaja jina.

Baada ya kauli hiyo Mange Kimambi amemtaja jina la kusema mtu aliyelala na Paula wakati Paula yupo kwenye mahusiano na Rayvanny alikuwa diamond Platnumz Ingawa Rayvanny hakumtaja jina.

Sakata la Rayvanny na Paula limeibua menngi sana mpaka Paula kutoa siri kuwa Rayvanny ndio mtu alimharibia usichanna wake na kumfanya watu wamuone anatabia mbaya.

Kauli hiyo imemuibua Gigy Money na kusema kuwa Bikra ipi?? na Bikra inatolewaje?? na kwanini mtu achukue bikra ya mtu?? lakini pia Puala akisema kuwa yeye aliachana na Rayvanny kwa sababu Rayvannny alilala na mfanykazi wake wa dukani.

Unnahis yupi mkweli kati ya Rayvanny na Paula na kwanini mahusiano mengi yamekuwa yakivunja kwa sababu za usaliti??

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents