Burudani

RECAP: Alikiba atoa kauli nzito, Crown media tatizo nini?? (Video)

Baada ya @el_mando_tz kuhoji kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO kuwa kwanini media mpya ya Alikiba Crown media haijaanza kufanya kazi.

Hatimaye Alikiba ametoa kauli kuhusu media yake kuchelewa kuanza kufanya kazi ambapo ameweka wazi kuwa kina Suprise anataka kuifanya lakini alikuwa anahitaji Hii Demand ya watu kutamani kuiona media media yake ikifanya kazi.

Licha ya Alikiba kutoa kauli hiyo lakini jambo zuri ni kwamba tayari media hiyo imeanza kufanya kazi Online kama Online Radio ikitoa nafasi kwa kila mtu kuisikiliza hata wale ambao wapo nje ya nchi na wale ambao wapo nje ya mikoa ya Pwani.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Host: @el_mando_tz Cameraman @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents