Burudani

Billnass afanya kufuru

Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Billnass anaendelea kuonesha jeuri yake ya pesa baada ya kuvuta gari yake mpya aina ya Toyota Landcruiser ZX2024 ikiwa ni Zero Kilometa ameinunua.

Gharama ya Gari hilo ni zaidi ya Millioni 500 Tsh.

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents