BurudaniHabari

RECAP: Hakuna msanii Tanzania wa kushindanna na Wanigeria, wametuacha mbali kimuziki – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake Pendwa cja RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Show ya @davido O2 ARENA pamoja na ukuaji wa muziki wao.

@el_mando_tz anasema sasa hivi kusikia wasanii wa Nigeria kujaza kumbi kubwa Ulaya na Marekani limeshakuwa jambo la kawaida sana.

Amefananisha na wasanii wetu wa Tanzania na kusema kwa wale wanaoshindanisha wasanii wa Tanzania na wa Nigeria wanakosea sana.

Ameongeza kwa sasa hakuna msanii wa Tanzania mwenye uwezo na vigezo vya kushindana na Wanigera.

Ametaja baadhi ya sababu zake, hebu msikilize na tuambie unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents