BurudaniHabari

RECAP: Jay Melody amethihirisha ubora wake kimuziki

Kwenye kipindi chake pendwa cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amemzumgumzia msanii wa Bongo Fleva @realjaymelody

Ameeleza kwa urefu namna @realjaymelody alivyoanza kuaminiwa na wasanii wakubwa kwenye soko la muziki wa Bongo Fleva.

Amezungumzia nafasi na heshima aliyopewa na kaka zake kwenyw nyimbo ya Mapoz pamoja na Formula Moto Zimelia.

@el_mando_tz ameongeza kuwa @realjaymelody ni msanii mwenye future nzuri kama atakuwa kwenye misingi ambayo wengi wanamuona yupo.

Heshima aliyopewa kiukweli ameitende haki, kazi kwake kwenye kutafuta nafasi zaidi kwenye soko la muziki wa Bongo Fleva.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents