BurudaniHabari

RECAP: Wasanii wa Tanzania Ulaya wanalipwa zaidi ya milioni 20 – Lady Naah

Kupitia kwenye kipindi chake pendwa cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumza na Promota kutoka Tanzania anayeishi London Nchini Uingereza.

Anaitwa @ladynaaaa Wamezungumza mengi lakini pia ndio anayewapeleka wasanii wa Tanzania kufanya Show nchini Humo.

Miongoni mwa wasanii aliowapeleka ni @harmonize_tz @rayvanny na wengine, amezungumzia namna anavyofanya nao kazi lakini pia ukuaji wa muziki wa Bongo Fleva Ulaya.

Pia amegusia suala la nidhamu kwa wasanii wetu wa Tanzania na kusema anafurahishwa sana na @rayvanny na @harmonize_tz kwa wanajua wanachofanya.

Ameeleza namna anavyolipa DJ’s huko Ulaya kucheza nyimbo za Tanzania lwenye Clubs zao.

Msikilize kwa makini kisha toa maoni yako.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents