Burudani

Reekado Banks atoa jina la album yake mpya

Msanii kutoka nchini Nigeria aliye chini ya lebo ya Don Jazzy (Mavins Records), Reekado Banks kupitia post yake kwenye Instagram amewapa mashabiki jina la album yake mpya.

Reekado

Album hiyo imepewa jina la SPOTLIGHT.

Jina halisi la Ricardo ni Ayoleyi Hanniel Solomon na mwaka 2014 alishinda Rookie of the Year kwenye tuzo za The Headies.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents