Mahojiano

Rosa Ree “Nahreel aliniambia naweza kurapp baada ya kukatishwa tamaa kisa mwanamke eti Hip hop ya wanaume” – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni hit maker wa ngoma ya #SukumaNdiga akishirikiana na @rayvanny @rosa_ree amefunguka mambo mengi sana aliyowahi kupitia wakati anaingia kwenye muziki.


@rosa_ree alimeongeza kuwa wakati anaingia kwenye muziki alikutana na Producer @nahreel na alipomwambia yeye ni Rapper Nahreel alimsikiliza na kumwambia anaweza.

Rosa Ree ameongeza kuwa watu wengi wamekuwa wakiwakatisha tamaa watoto wa kike kuwa hawawezi Kurapp kama wanaume lakini yeye alijiamini na kujiona anaweza kwa sababu hakutaka kufuata mtu yeyote. “Nahreel alinambia fanya kile unachotaka, Imba unavyotaka chochote unachokiwaza fanya usisikilize mtu anakwambia nini “

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents