Mahojiano

S2kizzy na Mocco walivyokutana studio, Watu wanahisi hatuelewani kisa tunafanya kazi na Alikiba na Diamond (+Vide)

Moja ya watayarishaji wa muziki wanaofanya vizuri kwa sasa katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva @moccogenius na @s2kizzy wamekutana na kupiga stori nyingi sana.

Waiongea na Bongo5 @s2kizzy amesema kuwa watu wengi huwa wanamwambia hivyo kuwa anawezaje kuwa karibu na @moccogenius haliyakuwa yeye anafanya kazi na @diamondplatnumz huku @moccogenius akifanya kazi sana na @officialalikiba

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents