Meneja wa @diamondplatnumz @sallam_sk bado anaendelea na orodha ya mambo mablimbali yaliyokiki kwa mwaka 2022.
Baada ya kutaja orodha ya wasanii wa Bongo Fleva na baadae kuja na wasanii wa Bongo movie, leo amekuja na orodha ya ngoma(nyimbo) 10 zilizofanya vizuri kwa mwaka 2022.
1. Watasubiri ya @diamondplatnumz ft @officialzuchu
2. Yataniua @mbosso_ ft @diamondplatnumz
3. Nakupenda @realjaymelody
4. Kwikwi @officialzuchu
5. Naogopa @marioo_tz ft @harmonize_tz
6. Nitongoze @rayvanny ft @diamondplatnumz
7. @Utu @officialalikiba
8. Desh Desh @iamlavalava
9. Pita Huku @dullamakabila
10. Champion @kontawaa ft @naytrueboytz
Kwa upande wako unaionaje hii orodha ya ngoma bora??
Unaswali?? Au una orodha yako??