Habari

Serikali yatoa ufafanuzi mwekezaji anaedai kuzuiwa kuingiza sukari Tanzania Bara (+video)

Serikali kupitia Msemaji wake, Dkt. Hassan Abbasi imetolea Ufafanuzi Malalamiko ya Mwekezaji kiwanda cha Sukari ZSFL anedaiwa kuzuiwa kuingiza sukari yake Tanzania Bara ambapo awali Kiwanda hicho kilimilikiwa na Serikali kabla ya kubinafsishwa kwa mwekezaji. Tazama video hii Dkt. Abbasi akitolea ufafanuzi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents