Burudani

Sio kweli kwamba tuna hela kama magazeti yanavyoripoti – Diamond

Jumatatu hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Diamond Platnumz ambapo aliitumia siku hiyo kutembelea katika hospitali ya Amana ambayo alizaliwa kutoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya tsh milioni 4. Akizungumza wadau waliojitokeza hospitali hapo, Rais huyo wa WCB alisema hicho ndio kiwango kidogo walicho nacho huku akisema kwa matani kwamba utajiri wao ambao unazungumzwa kwenye magazeti sio wa kweli.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents