Burudani

Sita wakamatwa kwa mauaji ya Rapa (AKA)

Rapa maarufu Kiernan Forbes maarufu kama (AKA) ambaye aliuawa  mnamo  Februari 2023 nchini Afrika Kusini, siku ya jana Jumanne Polisi wa nchini Afrika Kusini wamesema kuwa wamewakamata watu sita wanaohusika moja kwa moja na mauaji ya Kiernan Forbes (AKA).

Msanii huyo alifariki akiwa na umri wa miaka 35, alipigwa na risasi na kuuawa Februari 10, mwak, 2023 wakati wakitembea nje ya mgahawa maarufu mjini Durban, AKA alipanga kutumbuiza katika klabu moja ya karibu usiku huo.

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents