Habari

Taarifa ya uvumi wa Rais Mstaafu Kikwete kutoa mikopo kwa haraka

Kwenye ukurasa wa Facebook unaotumia jina la Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete umeandika taarifa ya kuwa Rais mstaafu anatoa mikopo kwa haraka kupitia Vikoba. Naibu katibu wa Rais huyo Mstaafu amekanusha taarifa hizo akidai zina nia ya kupotosha jamii.

Soma Taarifa kamili:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents