Habari

Tanesco haihusiki na kukatika kwa Umeme Uwanja wa Taifa

Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii ya @tanesco_official_page wameandika hiki:

“Uwanja wa Taifa una hudumiwa na vyanzo viwili vya Umeme. TANESCO na Majenereta ya uwanja.

Mechi ya leo uwanja ulikuwa unahudumiwa na Majenereta ya uwanja.

Baada Majenereta kushindwa kufanya Kazi katikati ya mchezo na taa kuzimika uwanja uliamua kutumia chanzo cha TANESCO na mchezo ukaendelea.

Tunasikitika kwa kadhia iliyo iliyo jitokeza na tutashirikiana na wenzetu kwa siku za usoni jambo hili lisijirudie.”

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents