HabariSiasa

Tanzania katika mpango wa GIGA unaoratibiwa na ITU

Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi (wa tatu kulia) akiongoza ujumbe wa wataalam wa mawasiliano-Tanzania, katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Duniani-ITU Kanda ya Afrika Bi. Anne Rachel Inne’ (wa pili kushoto) kwenye mkutano uliojadili ushiriki wa Tanzania katika mpango wa GIGA unaoratibiwa na ITU. GIGA ni mpango unaolenga kuunganisha kila shule duniani kwenye mtandao ifikapo 2030.

Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa Maendeleo ya Mawasiliano Duniani (ITU-WTDC-2022) unaofanyika jijini Kigali, Rwanda.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents